Subscribe Us

header ads

NAFASI ZA KAZI Wahudumu wa Bar

Image result for nafasi za kazi 
Location
Other Dar es Salaam District Dar Es Salaam
Description
NYAMACHABEA BAR iliyopo TEGETA -Nyaishozi-Tunahitaji wahudumu wenye sifa zifuatazo:
  1. Awe na umri wa miaka 18 na kuendelea
    2.Awe na uzoefu wa kazi
    3.Awe mwenye kujituma na mwaminifu.
NAMNA KUOMBA:
  1. Barua ya maombi ya kazi
    2.Barua ya mdhamini ikiwa na picha
  2. Barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa unaoishi
    Kisha peleka kwa meneja
MENEJA WA BAR
BAR YA NYAMACHABEZ
S.L.P TEGETA NYAISHOZI
DAR ES SALAAM.

  1. Awe na umri wa miaka 18 na kuendelea
    2.Awe na uzoefu wa kazi
    3.Awe mwenye kujituma na mwaminifu.
NAMNA KUOMBA:
Barua ya maombi ya kazi 2.Barua ya mdhamini ikiwa na picha Barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa unaoishi Kisha peleka kwa meneja

Post a Comment

0 Comments