Watu wengi
wamekuwa wanakosa ajira wanazozihitaji
kwa si sababu tu hawana uwezo wa kufanya kazi la hasha ila ni
kwa sababu hawatambui mbinu za kuweza kushinda usaili huo.
Hivyo kwa kutambua
thamani yako na uwezo ulionao katika kufanya kazi tumeamua kukuletea kitabu
ambacho pindi utakapokisoma tuna uhakika wa asilimia zote ya kwamba utapata
kazi unayohitaji.
Kitabu hiki
kimekuwa ni zawadi kwa wengi na kimekuwa kikiwasaidia watu wengi na kwa sasa
wanaishi ndoto zao, pia kitabu hiki kimejaa maelezo ya kutosha kuhusiana na
jinsi amabvyo utashinda usaili hatimaye kupata kazi unayohitaji.
MIONGONI
MWA MADA ZILIZOPO KATIKA KITABU HIKI NI PAMOJA NA :
1. Mbinu za
kutengeneza mtandao wa ajira hatimaye kupata kazi unayoihitaji.
2. Maana ya usaili
na aina za usaili ambazo hupendwa kutumika mara kwa mara.
3. Mambo ya
kuzingatia kabla ya kuingia katika chumba za usaili.
4. JInsi ya
kuchagua rangi za nguo za kuvaa kabla ya kwenda kufanyiwa usaili.
5. Mambo ya msingi
ya kuzingatia pindi uwapo chumba cha usaili.
6. Yajue maswali
ambayo huulizwa mara kwa mara katika usaili na majibu yake.
7. Maswali ambayo
hutakiwi kuuliza wakati wa usaili.
8. Makosa ya
kuyaepuka wakati wa usaili.
9.
Mambo matatu ya kuyakumbuka mara baada ya kufanyiwa usaili.
NB; Kumbuka
kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha ya Kiswahili.
NAMNA YA KUKIPATA KITABU HIKI.
Kitabu hiki kipo
katika mfumo wa nakala tete ( soft copy) ambapo utatumiwa kupitia e-mail yako. Hivyo
ili kuweza kupata kitabu hicho utakinunua kupitia M-Pesa Au Tigo Pesa ambapo
utalipia Tsh 5000/= tu kwenda 0755-542721 au 0621211561 (Benson Chonya).
Mara baada ya
kutuma pesa Utatuma Neno “ KITABU”
likifuatiwa na jina lako na email yako ambayo ndiyo itatumika kutuma kitabu
hicho kwenda 075542721.
KARIBU
SANA UJIPATIE NAKALA YAKO. Asante.
Change Your Dream into reality
0 Comments