Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali anawatangazia nfasi za kazi Mtendaji wa Kijiji III NAFASI 70 KWA RAIA WOTE wa Tanzania
3. MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III. (VILLAGE EXECUTIVE III) NAFASI 3.
SIFA ZA MWOMBAJI
1 Kuajiriwa wenye elimu ya kidato cha nne (IV)au sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/ Cheti katika moja ya fani zifuatazo:
Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo cha Serikaliza Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

Kazi/Majukumu ya kufanya:
a) Afisa Masuhuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji .
b) Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao, Kuwa Mlinzi wa Amani na Msimamizi wa Utawala Bora katika kijiji
c) Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Kijiji.
d) Katibu wa Mikutano na Kamatl zote za Halmashauri ya Kijiji
e) Kutafsiri"na kusimamia Sera. Sheria na Taratibu
f) Kuandaa Taarifa za Utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishaji mali
g) Kiongozi wa wakuu wa Vitengo vya Kitaalam katika Kijiji.
h) Kusimamia. kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za Kijiji.
i) Mwenyekiti wa Kikao cha Wataalamu waliopo katika Kijiji
j) Kupokea, kusikiliza na kutatua'jualalamiko na migogoro ya Wananchi
k) kusimarnia utungaji wa sheria ndogoza kijiji.
l) Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.

MASHARTI
- kila mwombaji lazima awasilishe barua iliyoandikwa kwa mkono ikiambatanishwa na wasifu binafsi (CV)
- vivuli vya vyeti vya elimu na ujuzi vilivyohakikiwa (certified copy)
- majina ma 3 ya wadhamini
- cheti cha kuzaliwa
- picha 2 passport size za hivi karibuni
- mwisho wa kutuma maombi nitarehe 14 Septemba 2017

maombi yatumwe kwa
MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMSHAURI YA WILAYA ,
S.L.P 237,
RUJEWA
HALMSHAURI YA WILAYA ,
S.L.P 237,
RUJEWA
0 Comments