NAFASI ZA KAZI WILAYA YA KONDOA
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa anapenda kuwatangazia wananchi wote wa Tanzania nafasi za kazi zifuatazo
MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III. (VILLAGE EXECUTIVE III) NAFASI (5).
Mwombaji awe na sifa zifuatazo
-Kuajiriwa wenye elimu ya kidato cha nne (IV)au sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/ Cheti katika moja ya fani zifuatazo:
Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo cha Serikaliza Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
Majukumu:
a) Afisa Masuhuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji .
b) Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao, Kuwa Mlinzi wa Amani na Msimamizi wa Utawala Bora katika kijiji
c) Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Kijiji.
d) Katibu wa Mikutano na Kamatl zote za Halmashauri ya Kijiji
e) Kutafsiri"na kusimamia Sera. Sheria na Taratibu
f) Kuandaa Taarifa za Utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishaji mali
g) Kiongozi wa wakuu wa Vitengo vya Kitaalam katika Kijiji.
h) Kusimamia. kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za Kijiji.
i) Mwenyekiti wa Kikao cha Wataalamu waliopo katika Kijiji
j) Kupokea, kusikiliza na kutatua'jualalamiko na migogoro ya Wananchi
k) kusimarnia utungaji wa sheria ndogoza kijiji.
l) Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.
2. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II NAFASI 1
MAJUKUMU
- kutafuta kumbukumbu/nyaraka /majalada yanayohitajiwa na wasomaji
- kuweka majalada katika makundi
- kuweka kumbu kumbu katija majalada
- kuthibiti upokeaji wa, uandikishaji wa kumbukumbu/ nyaraka
MWOMBAJI AWE NA
- awe amehitimu elimu ya kidatao cha 4 au 6
- awe amehitimu mafunzo ya utnzaji kumbukumbu angalau katika ngazi ya cheti katika moja wapo ya fani za Afya, Masijala, Mahakama ya Ardhi
mwombaji awe na sifa zifuatazo
- Muombaji awe raia wa Tanzania
- maombi yaambatanishwe vivuli vya vyeti picha passport size iliyopigwa hivi karibuni maelezo binafsi (CV) na namba ya simu ya muombaji
- watumishi walio wahi kufanya kazi serikalini na kupata cheki namba hawataajiriwa bena bali wataajiriwa baada ya kupata kibali cha Katibu mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
- vyeti vya kidato cha 4 na 6 lazima vithibitishwe na hakimu anayetambulika na serikali
- mwombaji yoyote ambaye hatazingatia moja wapo ya masharti haya mambo yatke hayatashughulikiwa
- watumishi ambao walikwisha ajiriwa hapo awali na kupangiwa vituo vya kazi katik maeneo mngine hawaruhusiwi kuomba
- barua zote zitumwe kwa njia ya posta maombi ytakkayowalisishwa kwa mkono hayatopokelewa
mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 18/09/2017
maombi yatumwe kwa
MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMSHAURI YA WILAYA,
S.L.P 1,
KONDOA

0 Comments