Subscribe Us

header ads

NAFASI ZA KAZI ....WANAHITAJIKA WANAMITINDO MA "MODEL" WANAHITAJIKA NAFASI (12)

Image result for FASHION AND MODELLING 
Application deadline
2017-10-13
Business / Employer name
NEEMA RECRUITMENTAGENCY
Job categories
  • Other
Job Role
Entry Level
Position Type
Part Time
Organization Type
Private Sector
Location
Kinondoni, Ubungo Dar Es Salaam
Description
MODELS ( WANAMITINDO )
Taasisi inayo jihusisha na kufanya shughuli mbalimbali za kijamii inatangaza nafasi za wanamitindo kwa ajili ya kufanya kazi mbalimbali za kijamii za taasisi.
SIFA ZA MWOMBAJI.
  1. Awe wa jinsia ya kike
  2. Elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea
  3. Awe na wito na kazi ya mitindo
  4. Awe tayari kufanya kazi mbalimbali za kijamii.
  5. Awe anaweza kuwasiliana kwa ufasaha katika lugha za Kiswahili na kiingereza.
  6. Awe anaishi mahali popote Tanzania.
MAJUKUMU YA KAZI .
  1. Kushiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii zinazo ratibiwa na taasisi ndani ya nchi na katika nchi jirani.
  2. Kushiriki katika projects na programs mbalimbali zinazo andaliwa na taasisi.
  3. Kupiga picha za matangazo ya makampuni mbalimbali kwa niaba ya taasisi.
IDADI YA NAFASI : NAFASI KUMI NA MBILI ( 12 )
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 13 OCTOBER 2017.
Maombi yote yatumwe kupitia Apply Now.
MAELEKEZO YA JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Tuma maombi yako ukiambatanisha na picha kumi za rangi ulizo piga hivi karibuni. Ziwe full picture na ziwe picha tofauti tofauti.


CREATE AN ACCOUNTS OR SIGN UP AND APPLY HERE 

Post a Comment

0 Comments